Taja jina la member ambaye tabia yake huipendi

mkwepu jr namkubali sana
 
I see huyu njemba mpaka nikamstukia,anataka nini kwangu huyu, mpaka ana-like hata nikiandika pumba. Nikajua ndio hawa wasiojulikana ananivizia. Nikajipanga atakiona cha mtema kuni akijaribu kujipendekeza
 
Huyo mwana hatari. Yaani mara yake ya mwisho kutype ni novemba ila mara ya mwisho kulike ni leo saa sita.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa like uyo namkubali sana
 
Mkuu huyu jamaa nilidhani mwanzoni labda ananifahamu maana nilianza kuogopa kila comment ananipa like. Jana ndo ikabidi nimfatilie nikaona anatoa like kwa kila mtu, nilistasjabu sana
 
Nakubaliana na wewe, hivi huyu mtu mkwepu jr huwa ana comment kweli? Yeye Ni malikes tuuuu. Binafsi nampenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…