[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi mwenzako nikawa najidaiiiii naona jamaa ananimwagia milikes ni na nini atakuwa kazimikia swaga zangu lol kumbe hakuna kitu mkwepu jr njoo ugonge like na hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzo nilikuwa naogopa?! Kumbe ni tatizo la wanajf wote!!
Sasa dada hukumfuata hata PM jamani!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikuwa nasubiri pm yake kwa bashasha zote na hakika ningeijibu [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana mzungu hataki tabu nawana anashow love kwakila mtu.Kuna id inaitwa mkwepu jr hahaha huyu simchukii. Naikubali sana hii id inavyojiendesha yaani ikiingia kwenye uzi yenyewe ni kumwaga like tu na haulizi.
Mfano wewe utasema paka ni mnyama anakupa like, means anakubaliana na wewe, kisha akitokea mwingine akisema paka ni mmea na huyo pia anampa like, kwamba sasa hiv kakubali paka ni mmea, akija mwingine akiwatukana nyinyi kua mnaongea utumbo, atampa like na huyo pia.
Sasa akitokea mwingine akamcrush huyu kwa kutukana wenzake na kumwambia aache watu wawe free, na huyo pia atampa like.
Hii id chiboko.
Labda ndio anatafuta umaarufu Mkuu.Wewe kutonipenda mimi ni haki yako ya kikatiba.
Wewe kujieleza kwamba hunipendi mimi ni uhuru wako wa kujieleza, haki ya kikatiba.
Natetea haki zako hizi.
Na pia, usiponipenda kwa sababu na mimi natimiza haki zangu za kikatiba za kujieleza, mimi nafurahi sana.
Kwa sababu sijawahi kupungukiwa na wanaonipenda, sitafuti kupendwa kupendwa kunanitafuta mimi.
Natafuta ukweli tu.
Na kama ukweli unakukata maini mpaka useme hunipendi, all the better for me.
Bahafi mbaya au nzuri mimi hata sikukumbuki wewe ni nani hapa JF. Siwezi kusema sikupendi, sikujui, sikukumbuki kabisa.
Jinsi ambavyo uko insignificant kwangu.
Hapa kwenyewe kishakupa like....Kuna id inaitwa mkwepu jr hahaha huyu simchukii. Naikubali sana hii id inavyojiendesha yaani ikiingia kwenye uzi yenyewe ni kumwaga like tu na haulizi.
Mfano wewe utasema paka ni mnyama anakupa like, means anakubaliana na wewe, kisha akitokea mwingine akisema paka ni mmea na huyo pia anampa like, kwamba sasa hiv kakubali paka ni mmea, akija mwingine akiwatukana nyinyi kua mnaongea utumbo, atampa like na huyo pia.
Sasa akitokea mwingine akamcrush huyu kwa kutukana wenzake na kumwambia aache watu wawe free, na huyo pia atampa like.
Hii id chiboko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulitakiwa ukamshukuru dada, sijui unakwama wapiii
🤣🤣🤣🤣Kuna id inaitwa mkwepu jr hahaha huyu simchukii. Naikubali sana hii id inavyojiendesha yaani ikiingia kwenye uzi yenyewe ni kumwaga like tu na haulizi.
Mfano wewe utasema paka ni mnyama anakupa like, means anakubaliana na wewe, kisha akitokea mwingine akisema paka ni mmea na huyo pia anampa like, kwamba sasa hiv kakubali paka ni mmea, akija mwingine akiwatukana nyinyi kua mnaongea utumbo, atampa like na huyo pia.
Sasa akitokea mwingine akamcrush huyu kwa kutukana wenzake na kumwambia aache watu wawe free, na huyo pia atampa like.
Hii id chiboko.
Missing you more kaka!Brother is missing you
Jr[emoji769]
Kiranga kapaniki hahahaahaaaaaaKuna wadau humu miyeyusho sana.
Taja tabia usizozipenda kutoka kwao hivyo wajirekebishe.
Kwangu hawa nawaona miyeyusho sana
1)Sexyles
Huyu anaboa mara anajifanya wa kike mara wa kiume haijulikani.
2)kiduku lilo
Jamaa ana fake sana maisha.
3)Kiranga
Anasema haaimini uwepo wa Mungu ila mada za Mungu zikianza kujadiliwa huyo anajileta kutafuta kiki.
hahahahahaaaaakweliKuna anaejiita "Genta....." asee huyu nilishampa ahadi
nikimuona mahali tu nikajua ni yeye,Atanipa maelezo yakutosha.
😆😆😂😂😂Daaaaaa hatarMie najuaga ni robot
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]Daaaaaa hatar
Kiduku LiloKuna wadau humu miyeyusho sana.
Taja tabia usizozipenda kutoka kwao hivyo wajirekebishe.
Kwangu hawa nawaona miyeyusho sana
1)Sexyles
Huyu anaboa mara anajifanya wa kike mara wa kiume haijulikani.
2)kiduku lilo
Jamaa ana fake sana maisha.
3)Kiranga
Anasema haaimini uwepo wa Mungu ila mada za Mungu zikianza kujadiliwa huyo anajileta kutafuta kiki.
Daaaa sema siwajui tu, mm ningetajaNimegundua humu watu wanaishi kwa misingi ya woga na kujifanya ma saints!! Na unafiki juu!! Tuseme watu wote munampenda state agent ? Kawe Alumni ? Magu ??? Yaani hata li YEHODAYA ?