Taja jina la member ambaye tabia yake huipendi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna anaejiita "Genta....." asee huyu nilishampa ahadi

nikimuona mahali tu nikajua ni yeye,Atanipa maelezo yakutosha.

Hongera zako Mkuu kwani naona Watu 32 wamekupa Like kwa hii comment yako ila nimejaribu Kuwafuatilia hawa Watu 32 na Kugundua 95% ni Marafiki wakubwa wa huyo Member usiyempenda na wengi Wao pia Wanamfolo.
 
We genta endelea kuja na ID zko tofauti mi nakwambia ipo day uta nasa tu

sasa hivi like zimefika 33 endelea kuzihesabu na kufatilia wanao like,endelea nasema
 
Hongera zako Mkuu kwani naona Watu 32 wamekupa Like kwa hii comment yako ila nimejaribu Kuwafuatilia hawa Watu 32 na Kugundua 95% ni Marafiki wakubwa wa huyo Member usiyempenda na wengi Wao pia Wanamfolo.

Sifa haimuachi mtu salama πŸ˜‚πŸ˜‚ Umeamua kuja na ID nyingine co πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wabongo mnafurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…