Tieli
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 651
- 1,515
Na wanaoweka maongezi binafsi katikati ya uzi serious yaani ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wale wadada wanaofunga PM! Wangekuwa na uwezo wa kufunga na naniliu nafikiri mpaka sahivi wangekuwa mabikra!! lkn nashukuru mfupa uliomshinda paka panya hatauweza[emoji23][emoji23] single mothers
mliofunga PM mpo..? Nawasalimu tu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kuna anaejiita "Genta....." asee huyu nilishampa ahadi
nikimuona mahali tu nikajua ni yeye,Atanipa maelezo yakutosha.
We genta endelea kuja na ID zko tofauti mi nakwambia ipo day uta nasa tuHongera zako Mkuu kwani naona Watu 32 wamekupa Like kwa hii comment yako ila nimejaribu Kuwafuatilia hawa Watu 32 na Kugundua 95% ni Marafiki wakubwa wa huyo Member usiyempenda na wengi Wao pia Wanamfolo.
....hawa huwa nawachukia Sana.....Na wanaoweka maongezi binafsi katikati ya uzi serious yaani ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera zako Mkuu kwani naona Watu 32 wamekupa Like kwa hii comment yako ila nimejaribu Kuwafuatilia hawa Watu 32 na Kugundua 95% ni Marafiki wakubwa wa huyo Member usiyempenda na wengi Wao pia Wanamfolo.
We genta endelea kuja na ID zko tofauti mi nakwambia ipo day uta nasa tu
sasa hivi like zimefika 33 endelea kuzihesabu na kufatilia wanao like,endelea nasema
😂 😂 😂 😂 😂Hana chura?