Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

lizaboni the master troll.huyu jamaa najia kabisa sio punguani kama anavyotuonesha humu, yuko kikazi zaidi,and his good at it
 
Mimi huwa najiboa mwenyewe hasa nikisha kula
images
Acha kuuhusisha mmea wetu pendwa na tabia zako binafsi,ganja na iheshimiwena ikiwezekane ipandishwe bei ili wabakie watumiaji wanaojieleewa.
 
LIZABON anaongoza mpaka sasa,mods mfuatilieni huyu
 
Kwa kura hizo kwa nini Moderators wa JF msimpige LIZABONI ban ya miezi 6 kwa kuchefua watu hapa jamvini, looks like he is number one public nuisance!
ubaya lizaboni,motochini na jane lowassa ni ID ya mtu mmoja yani.....wakipiga ban id ya motochini na lizaboni jamaa bado litakuwa linatamba na id ya jane lowassa
 
Ccm ndiyo chama kinachokutawala wewe. Na kitaendelea kutawala hata mwaka 2100!!!
 
Basi kama hivyo kila ID anayotumia ikibainika BAN!
Kil
hii ni ngumu kiutendaji mkuu....jf itayumba
huyo mtu mmoja lizaboni anamiliki ID kama 10 hivi......
kiuhalisia JF inaweza ikawa na id halisi 50 tu lakini zilizobaki zote watu ni walewale tu mkuu
 
Back
Top Bottom