Acha kuuhusisha mmea wetu pendwa na tabia zako binafsi,ganja na iheshimiwena ikiwezekane ipandishwe bei ili wabakie watumiaji wanaojieleewa.Mimi huwa najiboa mwenyewe hasa nikisha kula
KunradhiAcha kuuhusisha mmea wetu pendwa na tabia zako binafsi,ganja na iheshimiwena ikiwezekane ipandishwe bei ili wabakie watumiaji wanaojieleewa.
Na mm ngoja nimuandikeLizaboni ndo nani?? ngoja na mimi nimuandike yeye LIZABON
Dah...mmeanza uchochezi sasa[emoji4]Mimi huyu wakuitwa kikoozi sijawahi ona kaandika point.
Kwa kura hizo kwa nini Moderators wa JF msimpige LIZABONI ban ya miezi 6 kwa kuchefua watu hapa jamvini, looks like he is number one public nuisance!kichaa MOTOCHINI
kichaa Lizaboni
vichaa wa CCM original woooooote
huwa hawanaga hoja yani...then hayaelewagi yani,buk 70 zinapumbaza
ubaya lizaboni,motochini na jane lowassa ni ID ya mtu mmoja yani.....wakipiga ban id ya motochini na lizaboni jamaa bado litakuwa linatamba na id ya jane lowassaKwa kura hizo kwa nini Moderators wa JF msimpige LIZABONI ban ya miezi 6 kwa kuchefua watu hapa jamvini, looks like he is number one public nuisance!
ingekuwa pesa ya mboga,usingekuwa tayar kutetea ccm na kudestroy future kwasababu ya 7000.....Hahaha du! &583
Ungejua hiyo ni pesa sa mboga wala usingeli tapika
Basi kama hivyo kila ID anayotumia ikibainika BAN!ubaya lizaboni,motochini na jane lowassa ni ID ya mtu mmoja yani.....wakipiga ban id ya motochini na lizaboni jamaa bado litakuwa linatamba na id ya jane
lowassa
hii ni ngumu kiutendaji mkuu....jf itayumbaBasi kama hivyo kila ID anayotumia ikibainika BAN!
Kil