Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

utoto huu raha sana.

utakuta unaemchukia ni babako ila haujui kwa sababu amejifichwa nyuma ya jina bandia.

alafu kwa unafiki unasema hakuna mtu unampenda kama mzee wako
Kihom hom yuko poa.. Ila jf anaongea pumba ... Kwaiyo una act accordingly
 
Hii mada ni pana sana, sio kukurupuka na kutajana majina kama wanamuziki wa kibongobongo. Lazima kuwe na vigezo na masharti. Napendekeza ataketajwa awe na Likes chini ya 50. Kama mtu ana likes zaidi ya 100, huyo hawezi kuwa anaboa humu ndani, maana kuna watu wamelike threads zake na ame wa impress
 
barbosa, jingalo, magonjwa mtambuka, barafu, na Nz.i wengine wa lumumba kama hao
 
UFIPA republic, wapinga maendeleo wote wana boa humu jamvini
 
Yule aliyeweka picha ya prof muhongo, nikiona amecomment huwa napita hata sitaki kujua amendika nn.. Naona kama ni mtu anayeongoza kunikera.. Napendekeza jamii forum waweze kuweka block. Kama mitandao mingine ili nisiweze hata kumuona kabisa
[HASHTAG]#hash[/HASHTAG] tag [HASHTAG]#Lizbon[/HASHTAG] tuachie jamii Forum yetu...
moto wa maji
SIMON MATO
Rutashobolo
Mwasita Moja, Rutashobya, Lizabon Lupyee
Lizabon

Na Rutashobolo

Ingekuwa kwenye mamlaka yangu ningewafuta kabisa humu.[emoji35] [emoji35] na hata wangebadili ID ningewasaka nakuwadelete kabisa.
Ben saanane
Huyu ingekuwa amri yangu nngempoteza kabisa jf
KILLAZER NAMBA MOJA SIJUI WA WAPI YULE JAMAA
PAUL MAKONDA
Wakudadavua
Janja One

Tandale One
Popoma mkuu
Lizaboni ni tatizo Mkuu.
liza mfupa a.k.a lizaboni ni tatizo
Dada Lazabon
Elizaboni
Mudawote huyu kama si kaha.ba basi changu
FaizaFoxy
JF-Expert Member
FaizaFoxy was last seen:
Sunday at 11:22 AM

Huyu anaishi kama shetwani sasa, si kawaida yake wiki nzima asitie maguu humu, wakati alikua hata mume hampatii haki yake ya ndoa, 24hrs JF. Bado wewe
Mbona hamtoi na sababu?

Naona mi bwabwajo tu [emoji22]
 
Umepiga fari john nini? Soma heading halafu tuambie kama kuna mahali kasema toa na sababu


Walimu wana kazi sana mashuleni
Taja na sababu wewe, mbona model wenu katoa na sababu....

Wivu ni kidonda shauri yako
 
Soma heading sio unaongeza na ya kwako madhara ya kuvuta bangi mbichi hayo
Unaweza kukuta wewe unaechukia mtu bila sababu Pengine hata humfaham ndie mwenye hayo matatizo... Sasa Wewe embu tuambie huyo bwana kakufanyaje hadi umchukie?
 
Unaweza kukuta wewe unaechukia mtu bila sababu ndie mwenye hayo matatizo... Sasa Wewe embu tuambie huyo bwana kakufanyaje hadi umchukie?
Anzisha thread yako sasa hilo humo halimo hapo ni orodha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…