Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Wale wazee wa acha kufananisha ........ , na wale wanaoita kile chuo pendwa kuwa ni chuo cha VILAZA .
 
Mimi huwa najiboa mwenyewe hasa nikisha kula
images
Hii ndio kitu ilikupa nguvu ya kuzunguka Tanzania nzima ? Ila tupo tofauti nisipokuwa na hiyo kitu ndio naboreka
 
Back
Top Bottom