Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Dah! kiukweli kukataliwa na Jamii kwa Ujumla yakupasa ukae chini ujiuize mara kumi kumi huyu LIZBON ajifunze aisee
Yawezekana sometimes mambo yake hayaendi poa coz hua anawakwaza watu so ajichek.πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Nibora upendwe na wanao jitambua 10
Kuliko kupendwa na Wanywa Viroba 10000
 
Wale wazee wa acha kufananisha ........ , na wale wanaoita kile chuo pendwa kuwa ni chuo cha VILAZA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…