Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

Ungetuuliza ambao tushawaona..maana ambao hatujawaona ni wengi kuliko tulowaona..
Natamaan nimuone Zari njmn[emoji4][emoji4]
 
Mie Bakhresa hata sura yake siifahamu coz sijawah kuiona live wala kwenye media.
 
Daudi Albert Bashite nimemuona ila Paul Christian Makonda ndo sijabahatika kumuona japo jina lake ni Maarufu Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…