Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unasema hujamuona.
Kwa kweli!Mhesh JPM Rais Wetu natamani japo nishikanenae mkono maana huwa ananikonga sana kwa kauli na maamuzi yake ,Mungu amlinde sana.
Huyo hutakaa ukutane nae, hata baraza la mitihani hawana records zake.Baashiitee!
Unashangaa kwavile nimetuma Na picha au unamshangaa alio pichan? [emoji15]
[emoji47]queen elizabeth
Uko wapi? Nitafute twende katika darsa lake!Shehe kipozeo aka shehe wa mizigo