Hakutegemea kuwa umefika level hiyo[emoji53] marahaba, vp kwan?
Acha u....haina shida binti yako ana miaka mingapi??
Ulivyosema alikuwa mwalimu wa hesabu. Maana umeenda kwenye mstari.hapana vipi?
Kumbe haina haja ya kuwa na Walimu wa Kiswahili.alikuwa anafundisha kiswahili haikunipa tabu kujisomea
[emoji23] duh ticha wa somo gani hili budaaaPenyeza