Taja jina la "mwalimu "lililokuwa linakuvutia!

Taja jina la "mwalimu "lililokuwa linakuvutia!

1.Kakunya

2.Limbu Mbulu

3.Mtani wa Mwili

4.Itambu

5.Kipilimba
 
Mwalimu Swiswi hapo shule ya msingi geitasamo serengeti miaka hiyo! (R.I.P
 
Mwalimu wangu wa shule ya msingi aliitwa "Ndele" mpaka leo sijui linamaana gani kama ni la kiukoo naomba msaada nijuzwe
 
Back
Top Bottom