Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Ndo ipi hiyo mkuu? Au umekosea spellingTemps unaijua ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ipi hiyo mkuu? Au umekosea spellingTemps unaijua ?
Kumbe wa kwetu,mimi nimekulia SOGE,ni mitaa hiyo hiyo ya masanzaWilolesi Iringa
Sisimba Mbeya
Kiloleli Primary School Massanza Kona Magu Mwanza
Muhimbili primary school
Sogesca kwa waitaliano waliotengeneza barabara ya kwenda MusomaKumbe wa kwetu,mimi nimekulia SOGE,ni mitaa hiyo hiyo ya masanza
Huku huko kiongoziSogesca kwa waitaliano waliotengeneza barabara ya kwenda Musoma
Mm ni biko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesoma Kolomije Primary,nikaenda Seco Misungwi nikapiga zero. Nikaenda Mwanza kurudia wapiii,nikanunua jina la Paul kujiunga na Chuo,kisha huyoooo MuccoBs Moshi na ma-disco na masap ya kufikia tu
Nikazama kwenye chama kujipenyeza penyeza mara RC. Mimi ni nani?
Kijan upo ??huku ni JF sio facebook.......... halafu watu mnaowatafuta hamtawapata
Mkuu umewaza vyema... Na mie pia napata hisia juu ya mipango him ya kihuni ya watu WA bwana yuleMnatumia nguvu kubwa sana kujua ID za watu humu, mmeshaona kushindwa ktk ile kesi iliyopo mahakamani ya kutaka kujua users wa JF.
Mungu ibariki JF
ni kweli kabisa huenda ametumwa huyuMaana ni watu wasiojulikana, kwa sababu hawatumii majina yao halisi.
Ndio mkuu nipoKijan upo ??
True mkuuHiyo ndo tofauti asee
JF kuna wakubwa na wanao tafuta madini lkn FB ni watoto wanao tafuta likes...
Mwaka gani yawezekana naku knowGongoni shule ya msing ..tabora
2002Mwaka gani yawezekana naku know