Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Kwani fb, Twitter, whatsap zinafanya kazi gani, we watu washakusoma lengo lako,
 
Igoko primary school Tabora

Mpakani primary school Dar

Ubungo NH primary school Dar
 
Nimesoma Kolomije Primary,nikaenda Seco Misungwi nikapiga zero. Nikaenda Mwanza kurudia wapiii,nikanunua jina la Paul kujiunga na Chuo,kisha huyoooo MuccoBs Moshi na ma-disco na masap ya kufikia tu

Nikazama kwenye chama kujipenyeza penyeza mara RC. Mimi ni nani?
Wewe ni champion
 
Nimesoma matare shule ya msingi, baadae ikawa kyambai shule ya msingi, wilaya ya Serengeti. Karibu.
 
Sima "A" primary school(BARIADI-SIMIYU) 1998-2004

Nilikuwa wa kwanza kuanzia darasa la tatu mpaka la saba
 
Back
Top Bottom