Ng'apa wapi ?, kilimahewa, congo, maakamani,shuleni, na ile ya mwisho inaitwaje ? Cheleweni !
ndugu hongera maana inaonekana age imeenda sana tu naisi hata mvi unayoUpanga primary school..1992 - 1999
Haya maelezo yanatosha kabisa kukamatwa na watu wa usalama wa taifa kwa mfumo wa Nchi Hii kwasasa inavyoendeshwaIdetero primary school ! nimewah kuwa no 11 darasa la 3 niliugua sana pumu kwa miez 5 nyumbani! lakini miaka yoote nilikua namba 1/2! standard seven tulifaulu mimi na kaka mmoja anaitwa Fred! nilikua naongoza kiwilaya ! asante Mwalimu NDELWA!