Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Mazoezi Primary School Korogwe Tanga.
Primary nilikua akili sio mingi nilikua namba yangu ni 2 au 3. Darasa la sita niliongoza shule mtihani wa Mock (shule iliongoza kiwilaya) na darasa la saba nikawa msichana aliepata marks nyingi mtihani wa taifa kutoka shuleni kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aiseee.. Nilimaliza st john bosco academy primary nilikuwa kilaza hatari namba zangu ni 20-22 kati ya wanafunzi 25 ila mwishoni namaanisha darasa la 7 nilikuwa mtu wa tisa sikuamini kuanzia hapo nikapata confidence O level hadi advance nilikimbiza sana aisee sema necta nikawa naambulia division two.

Chuo ndio nikaja relax zaidi mood ya kusoma sijui iliishia wapi kwa kweli nikatoka na pass za wastani nashukuru Mungu degree niliyosoma ilikuwa ni unclassified hivi sasa nafikiria kuanza kusoma masters mwakani nje kabisa nilichosomea bachelor
 

Chuo mwaka wa kwanza nilicheza sana ndo mwaka ulionichafulia GPA yangu. Ningekaza first year ningekua na GPA nzuri tuu tatizo nilikua najiamini Nina akili hata nisiposoma nitafaulu mambo yakawa sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…