Lufingo pr school Rungwe Tukuyu, kulikuwa Mwalimu anachapa viboko Shule nzima bila kuchoka,,,tulimchukia sana 1981-1987...tulimpenda sana Mwl wa siasa Na E.K. Julius Ngori...alikuwa anatufanya kuipenda Shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Legend. All the bestLipumburu PS. Mwl Nanchetta. Hakuna aliyefaulu ST7. Nikaingia UPE, nastafu mwakani..
Jamii ya watu hao sijui kwa Nini huwa wanapata bahati ya walimu kuwaacha na wao kuhisi wanaogopwa[emoji23][emoji23][emoji23]!
!
Mbuyuni Primary School, Morogoro hiyo iko maeneo ya vibandani B. Tulikuwa na chama la wana la kuitwa Black viba. Siwezi msahau mtu mmoja alikuwa anaitwa Belo. Huyu alichimba ubao kuandika jina lake ubaoni darasa la Sita A na haikutolewa kwa kipindi chote niko pale
Ndioooooo
Dadeq best[emoji39][emoji39][emoji23]
MoshiMawenzi primary school finalist 1995 tulikuwa na kina mapambano, Frank mpiji, Frank Emmanuel(kichaa), James Frank, Alexander mathias, Joseph Damian, Lucy Alex, delphina mathias, Ibrahim kiandika, Ally mwarabu, mwalimu mkuu maembe, mwl. Nkya,kiwelu, mama Sara mpishi