Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

!
!
Mbuyuni Primary School, Morogoro hiyo iko maeneo ya vibandani B. Tulikuwa na chama la wana la kuitwa Black viba. Siwezi msahau mtu mmoja alikuwa anaitwa Belo. Huyu alichimba ubao kuandika jina lake ubaoni darasa la Sita A na haikutolewa kwa kipindi chote niko pale
Jamii ya watu hao sijui kwa Nini huwa wanapata bahati ya walimu kuwaacha na wao kuhisi wanaogopwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanawajengea Identification excel sheet,analijaza kila siku!

Sasa,nyie endeleeni kama mmekatwa vichwa!
 
Nilimaliza 2000s Shule ya Msingi MKILI, Wilaya ya Nyasa, mkoa wa Ruvuma 😳.

Tangu darasa la Kwanza mpaka la Saba mimi ni namba moja tu 😜, nilifaulu peke yangu wenzangu wakafeli.

Nikasoma O levek, Advance, Chuo mpaka Masters, ila sasa hivi wale wenzangu waliofeli std 7 wana maisha mazuri na furaha kwenye familia zao kuliko mimi niliyesoma ambaye bado nahangaika na maisha huku mjini.
 
Sanawari shule ya msingi, hakuna cha primary school
 
Mbugani S/M 1995- 1996
Buzuluga S/M 1997- 2001
 
Back
Top Bottom