Kama kawaida mkuu nazunguka na kiti tu ofisiniHongera sana maana nasikia Mungu alikuona na sasa umetoboa mambo ni murua kabisa kabisa mkuu.
Sawa mkuu, ila omba sana Mungu aendelee kukuona asilete atakayetaka kuleta uhakiki hata kwenye ofisi za aina ya kwako>Kama kawaida mkuu nazunguka na kiti tu ofisini
[emoji2] [emoji2] [emoji38]Sawa mkuu, ila omba sana Mungu aendelee kukuona asilete atakayetaka kuleta uhakiki hata kwenye ofisi za aina ya kwako>
Mkuu vipi?
Balili maeneo ya homeMimi nimesoma Balili shule ya msingi iko Bunda miaka ya 80 rafiki yangu mkubwa alikuwa Jeremiah Maganja,Charles Nyambega na Abubakari Suleimani
Baraka gani maana kuna mabaraka kibao hata mimi ni BarakaNimesoma Mtakuja Primary school. ......nilimaliza mwaka mmoja na Baraka.
Mtoto wa Mr DaudiBaraka gani maana kuna mabaraka kibao hata mimi ni Baraka
Mr Daudi ni nani?Mtoto wa Mr Daudi