Taja jina la shule yako ya msingi ili ufahamiane na rafiki uliosoma nao lakini hapa hamujuani

Taja jina la shule yako ya msingi ili ufahamiane na rafiki uliosoma nao lakini hapa hamujuani

Mie nimesoma shule ya msingi mbele Kwa mbele inapatikana karibu na lumumba
 
Nimesoma Mtakuja Primary school. ......nilimaliza mwaka mmoja na Baraka.
 
Unayemuwazia kumridhisha kwa kazi zako na mitego uchwara yeye wala hakuwazii.

Fanya yanayokuacha na AMANI huku jamii ukiiacha na AMANI pia
 
Back
Top Bottom