Taja jina la utani la Mzee wako

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama mnavyojua kuna baadhi ya wazee wetu (baba) walikuwa na majina ya utani kutokana tu na kile walichokuwa wanapendelea kukifanya kitaani,

Je wewe mzee wako alikuwa na jina gani la utani?

Mi mdingi wangu alikuwa anaitwa uncle J ilikuwa inasomeka kwa kiswahilii "Unkle J" wakiwa na maana mtu wa watu sana yaani yuko peace hiyo J ni herufi ya jina lake la kwanza

CC Zero IQ
 
Baba yangu alikuwa mnywa gongo mashuhuri so wakamtungia jina kumwita kachaso..kachaso maanake Ni jina la Aina fulani ya gongo Kali Sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siyo Changaaa mkuu

CC Zero IQ
 
nick names za wazazi ili ugundue nini mambo ya hovyo kabisa haya zero oo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…