Taja jina la utani la Mzee wako

Taja jina la utani la Mzee wako

Intaprenyuwa
Kama mnavyojua kuna baadhi ya wazee wetu (baba) walikuwa na majina ya utani kutokana tu na kile walichokuwa wanapendelea kukifanya kitaani,

Je wewe mzee wako alikuwa na jina gani la utani?

Mi mdingi wangu alikuwa anaitwa uncle J ilikuwa inasomeka kwa kiswahilii "Unkle J" wakiwa na maana mtu wa watu sana yaani yuko peace hiyo J ni herufi ya jina lake la kwanza

CC Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom