Kasema anaitwa Msangi.....chunguza vizuri jina lake.!This is one of the most hopeless topics that I have ever seen in my entire life. Absolutely, futile.
Msoga [emoji23] [emoji23] [emoji23]CHINOGACHOSE
usiniulize lina maana gani.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kwani humu tunaitana au tunaandikana.
Yes hubbyNakuitaga Mke
Kasema anaitwa Msangi.....chunguza vizuri jina lake.!
Ukitoa a & i..uweke e & e
Ataitwa?
Bigwa! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chimalamadako
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mkeo ana miaka mingapi? Nadhani mmeingia ndoani mkiwa hamjakomaa bado
ulitaka wakomae kama zege ?
Wewe umekomaa hivyo?
nani mimi au ?
Wewe ndio kwani naongea na nani hapa
kwani tunaongea au tunaandika ?
HAHAHHAHAHAHAHAHA JONIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIMi nakutajia yote:John Punguza Mwendo.
Kifupi chake ndio sijui.