Taja Jina Moja Kati Ya Matatu Unayoitwa

Taja Jina Moja Kati Ya Matatu Unayoitwa

This is one of the most hopeless topics that I have ever seen in my entire life. Absolutely, futile.
Kasema anaitwa Msangi.....chunguza vizuri jina lake.!

Ukitoa a & i..uweke e & e
Ataitwa?
 
Kasema anaitwa Msangi.....chunguza vizuri jina lake.!

Ukitoa a & i..uweke e & e
Ataitwa?

Hahahahaha hahahaha hahaha hahahah. You have made my day. Nakubaliana na marekebisho ya jina lake kama ulivyopendekeza hapo.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Huyo MO11 hayo ndo majibu yake!

Mkeo ana miaka mingapi? Nadhani mmeingia ndoani mkiwa hamjakomaa bado

ulitaka wakomae kama zege ?

Wewe umekomaa hivyo?

nani mimi au ?

Wewe ndio kwani naongea na nani hapa

kwani tunaongea au tunaandika ?
 
Mtaani wananiitaga " Imma Matombo" sasa siku moja mama akaniuliza kwanini hao rafiki zako wanakuita Imma matombo?

Kwa ule umri, nilivyokuwa namheshimu mama jumlisha kukulia kwenye Dini...mate yote yalikauka nikakaa kimya nisijue cha kujibu!

Majina haya!
 
Back
Top Bottom