Taja Jina Moja Kati Ya Matatu Unayoitwa

Taja Jina Moja Kati Ya Matatu Unayoitwa

Majina na avatar za humu haziko wazi wakuu!

Kama ni madem nisameheni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuna u-DUME gani kwenye kutotumia imoji, na kuna u-JIKE gani kwenye kutumia imoji?
 
Kama majina na avatar haziko wazi iweje udhani kua sisi ni ME[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ....

Tumekusamehe siku ingine usikurupuke[emoji78]

Asante kwa kunisamehe! Sitakurupuka tena.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuna u-DUME gani kwenye kutotumia imoji, na kuna u-JIKE gani kwenye kutumia imoji?

Mkuu labda mimi ni kwa sababu ni old school, ila emoji zimekaa kike kike!
 
Back
Top Bottom