Taja jina moja la mbwa hapo 😂

Taja jina moja la mbwa hapo 😂

Hapo utasikia Simba Simba shikaa, huyo Simba Sasa kiuno kama kimepigwa jeki, hapo Kuna chui pia, chui ambaye akiona kenge tu anabweka na kukimbia hovyo mwenyewe, macho manne naye hakosi hapo...hao mbwa pichani wakiwa wengi utasema hapa tuna jeshi lakini ikipigwa ambush moja tu hao mbwa wanakimbia hovyo wanakuachia msala mwenyewe, ilishawahi kututokea hii Yani mna mbwa kibao sijui ni ambush gani ilitokea tukaachwa wenyewe, tuliwakuta tayari washafika nyumbani kabla yetu.
 
Kwakweli hapa huwezi kukomkosa Tiger tiger huku unapiga mluzi🤣😆

20250106_140233.jpg
 
Hapo Bobi na chui hawakosekani piga uwa 😹😹
 
Back
Top Bottom