Taja jina moja la mbwa hapo πŸ˜‚

Hapo utasikia Simba Simba shikaa, huyo Simba Sasa kiuno kama kimepigwa jeki, hapo Kuna chui pia, chui ambaye akiona kenge tu anabweka na kukimbia hovyo mwenyewe, macho manne naye hakosi hapo...hao mbwa pichani wakiwa wengi utasema hapa tuna jeshi lakini ikipigwa ambush moja tu hao mbwa wanakimbia hovyo wanakuachia msala mwenyewe, ilishawahi kututokea hii Yani mna mbwa kibao sijui ni ambush gani ilitokea tukaachwa wenyewe, tuliwakuta tayari washafika nyumbani kabla yetu.
 
Hapo Bobi na chui hawakosekani piga uwa 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…