Taja jina unaloliona mara nyingi JF

Taja jina unaloliona mara nyingi JF

Bahati mbaya nina akaunti moja, maana ningetumia akaunti zangu nyingine kujitaja, mimi huwa anaona sana Invisible
 
Mleta maada huna pointi, kajipange vizuri.
Wewe unayesema hivyo Mungu anakuona
BTW pole kwa vifungo mfululizo [emoji85] [emoji85] [emoji74] [emoji74] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wewe unayesema hivyo Mungu anakuona
BTW pole kwa vifungo mfululizo [emoji85] [emoji85] [emoji74] [emoji74] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahah, nahisi kama vile Mh. Mbowe au Mh. Lowasa wamekuwa ma MoDs maana kila nikitaja majina yao yale tuliyoyazoea napigwa BAN, yaani natafutwa hata kwa posti za enzi zileeee
 
hahahah, nahisi kama vile Mh. Mbowe au Mh. Lowasa wamekuwa ma MoDs maana kila nikitaja majina yao yale tuliyoyazoea napigwa BAN, yaani natafutwa hata kwa posti za enzi zileeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jiepushe nayo kabisa hata hivyo hongera kwa namna ulivyoyaandika leo
 
Hivi Kongosho alipoteleaga wapi...maana na yeye alikuwa everywher kama hewa
 
Back
Top Bottom