Nadhani hukunielewa vizuri. Au basi kama ulinielewa basi ulipitiliza.
Pili sikusema unani-challenge. Ni wasiwasi wako tu. Msingi wa uandishi wa kufasiri majina katika lugha ya pili hukuuleza bayana. Ungeivua comment yako mavazi katu nisingekujibu vile. Ni vile tu jinsi ulivyoivisha mavazi ndiko kumepelekea kukujibu vile. Sipendi ku-embrace mediocrity hivyo n'nakuwa makini sana katika n'nachokiandika humu Barazani.
Kwanini uliamua kufasiri majina yale kutoka Lugha A kwenda Lugha B ?. Jibu lako hapo juu halikuzingatia mantiki kwakuwa hakuna asiyelielewa hivyo (kila Lugha ina Tafsirika, ni suala la kumpata tu mfasiri anayejua kufasiri maneno kutoka Lugha A kwenda Lugha B).
Karibu tujifunze Comrade.