Taja kilichosababisha mpaka umpige mkeo au mpenzi wako katika maisha yenu ya mahusiano

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,483
Mahusiano hupitia katika vitimbwi,furaha,huzuni na wakati mwingine hadi mauaji.
Yamkini ni nadra sana kukuta mahusiano yaliyoweza kudumu kwa muda mrefu mathalani muongo mmoja bila ya wanamahusiano kupeana kichapo au mmoja wapo kuadhibiwa mara kwa mara.
Je ni tukio gani lilipelekea kumwadhibu mpenzi wako?binafsi niliwahi kumpa kichapo kutokana na tendo la kukiuka makubaliano,ambapo alienda kwenye harusi ya rafiki yake na kulala huko kwa siku tatu licha ya makubaliano yetu ilitakiwa alale kwa siku moja tu
 

Safi Mkuu hapo kwenye Rangi Nyekundu nimepakubali..SAFI SANA MDAU.
 

Ulimpiga mchumba au mke?
Sijawahi pigwa kwenye uchumba wala ndoa,,,kwanza kwann anipige,kwa kosa gani
 
Well to be honest mimi ni mpole/mtaratibu sana ila nna hasira sana so sipendagi uchokozi, usumbufu na kuharibiana siku kwa ligi ama ugomvi usio na lazima.

There was a time nilivumilia zile kelele za kike toka kwa shemej/wifi yenu ikafikia point ikawa too much nawaza hata narudije nyumbani. Ukifika tu mziki umeanza yani unalazimishwa kubishana over trivial things then unanyamazishwa kwa kauli moja inayokera balaa. Kuna siku nikaona sio kweli sasa nikaamua kusimama nikatoa kichapo heavy sana sikuwahi kupiga KE before, nilimvunja jino la mwisho.

Kesho yake sikwenda mihangaikoni nikawa ninamuuguza maana nilimchapa haswa. Naweza sema kipigo kilisaidia kwa kiwango flani maana dharau iliisha na ile kero ya gubu ikawa imeisha hivyo. Ila tangu na hapo nilijiapiza sitopiga tena maana naweza ua mtoto wa mtu aisee till date sipigi mwanamke i felt so guilty. Nilichojifunza baadhi ya wanawake wa kiafrika wanapendaga kudundwa someties ili akili ziwakae sawa ingawa sio kitu kizuri.
 
Hata mimi niliwahi kujiapiza hicho kitu,but i didi it once na sijawahi kupiga tena,ila kiukweli midomo ya wanawake inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana,cha muhimu ni kumuomba Mungu akupe hekima ili uweze kuishi nao salama otherwise mtakuwa na magomvi yasiyoisha..
 
He he heee! hivi bado kuna watu wanaowapiga wapenzi wao? Hakuna kosa lililohalalishwa kupigwa! usirudie kumpiga mpenzi/mke wako.

Ingia kwenye ndoa kwanza ndio uulize maswali yako mepesi ...
 
Sure Mkuu..inabidi kuwakumbusha kidogo kwa ONYO la namna hiyo.
 
Mimi nimewai kuwashushia Kosovo awa mabinti sana!ujana maji ya moto!kuna mmoja sitamsahau!narudi home usiku kama SAA NNE usiku!nimeshakula bia nyingi sana!sasa njiani nikakutana na mabinti wawili..!nao wanarudi uelekeo wangu!mmoja nkaanza kumtongoza!binti Wa kichaga!si akalianzisha dude!kuja kushtuka nko down nachezea ngumi!apo apo network ikarudi,yaani pombe ilikata!nilimrusha pemben kama km 0.5!nikamfuta nilimpiga kama mwizi!yule mwenzake akawa anapiga kelele anaomba msaada!kesho yake akawa anantafuta na barua ya police Alf hanijui,tulikuwa wageni mitaa iyo!Mangi mmoja akaniambia usiwe unaoneka mitaa iyo!sura ile niliivuruga vibaya mno!sizani km macho yalipona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…