majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
Mwanamke lazima umpige kidogo bila hivyo atakufanyia vituko kila siku
Kwa hiyo ukimpiga ataacha kufanya vituko? Umeshajiuliza utajisikiaje ukimuona mama yako akipigwa na babio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke lazima umpige kidogo bila hivyo atakufanyia vituko kila siku
Ingia kwenye ndoa kwanza ndio uulize maswali yako mepesi ...
Unashangaa nini sasa? Tulia umri ufike uweke mtu ndani ndio utajua watu wanazungumza nini, niliwahi kujiapiza sitompiga wife lakini ilishindikana aiee
Onyo Muhimu mdau.
Suluhisho ni Nini?Onyo ni kupiga? Hivi kwa nini unawaza kumuonya mkeo/mpenzio kwa kumpiga? Wewe ukikosa naye akupige? Kupiga sio suluhisho.
Kwa hiyo ukimpiga ataacha kufanya vituko? Umeshajiuliza utajisikiaje ukimuona mama yako akipigwa na babio?
Mahusiano hupitia katika vitimbwi,furaha,huzuni na wakati mwingine hadi mauaji.
Yamkini ni nadra sana kukuta mahusiano yaliyoweza kudumu kwa muda mrefu mathalani muongo mmoja bila ya wanamahusiano kupeana kichapo au mmoja wapo kuadhibiwa mara kwa mara.
Je ni tukio gani lilipelekea kumwadhibu mpenzi wako?binafsi niliwahi kumpa kichapo kutokana na tendo la kukiuka makubaliano,ambapo alienda kwenye harusi ya rafiki yake na kulala huko kwa siku tatu licha ya makubaliano yetu ilitakiwa alale kwa siku moja tu
majoto kwa wengi Mama ni 'Almight' but kwa Baba yako she is once a girl next door, his girlfried/lover or even once side chick, she is his wife. Kuwa mwangalifu sana kuchagua upande ... Itakuja kuku cost 😕😛😀😀
Suluhisho ni Nini?
Binafsi kipigo kilisaidia kurudisha nidhamu na utii,nisingempa kipigo hali ya masikilizano ndani ya nyumba ingekuwa mbaya sana.Nathubutu kusema toka nimpe adhabu utii umeimarika sana,ila sipendekezi kipigo kiwe mbadala wa kila tatizo linalojitokeza katika mahusianoBaada ya kumchapa ulirudisha nyuma yaliyotokea? Kama kuna mambo mabaya aliyafanya kule je, yalifutika? Ulimpiga tu lakini hukuweza kubadili yaliyotokea, kumpiga kwako hakukusaidia kitu zaidi ya kujifariji kwamba kipigo ulichompa kimefuta dhambi aliyotenda na kufuta makosa. Kipigo chako kilimpa uhuru wa kuweza kufanya lolote kwa malipo ya kipigo. Kuna wakati atafanya baya zaidi na atakuomba umuadhibu/umpige ili kufuta kosa, hayo si mapenzi, hilo si kusudi la ndoa, hayo si maisha. Take care kuna wakati utajuta kumpiga.
Nani kakudanganya akikupiga anakupiga kwa ajili ya suluhu?Ninavyoogapa kipigo na kuupenda mwili wangu huwa najikuta ni mtu niliyenyooka na ndio maana kwenye mahusiano sijawahi kumbana na hiyo dhahama.
Sio siri huwa nashangaa sana mwanaume anayempiga mwenza wake iwe kwa kosa lolote lile kwa sababu siku zote sijawahi ona suluhu ikipatikana kwa kipigo. Ila wanaume mnaopiga wenza wenu Mungu anawaona aisee. Japokuwa wengi wenu mtajifanya hampigi mwanamke ila kiuhalisia ni wanaume wengi sana wasiojua kutatua tatizo pasi kutoa kipigo.
Binafsi kipigo kilisaidia kurudisha nidhamu na utii,nisingempa kipigo hali ya masikilizano ndani ya nyumba ingekuwa mbaya sana.Nathubutu kusema toka nimpe adhabu utii umeimarika sana,ila sipendekezi kipigo kiwe mbadala wa kila tatizo linalojitokeza katika mahusiano
Binafsi kipigo kilisaidia kurudisha nidhamu na utii,nisingempa kipigo hali ya masikilizano ndani ya nyumba ingekuwa mbaya sana.Nathubutu kusema toka nimpe adhabu utii umeimarika sana,ila sipendekezi kipigo kiwe mbadala wa kila tatizo linalojitokeza katika mahusiano
Ndio dawa yao kumpiga na ataacha Mara nyingi hua wanafanya kukujaribu uta react vp ukijifanya mpole atakuchezea kila siku Mwanaume usikubali kuendeshwa na hawa viumbe hatariKwa hiyo ukimpiga ataacha kufanya vituko? Umeshajiuliza utajisikiaje ukimuona mama yako akipigwa na babio?
Nasikia vibaya nikiona baba anapelekeshwa na mama kuliko baba kumpiga mama wametoka mbali sana wanajuana wenyeweKwa hiyo ukimpiga ataacha kufanya vituko? Umeshajiuliza utajisikiaje ukimuona mama yako akipigwa na babio?
Ok. Ila try to be honest with yourself.Hivyo kipigo huwa vinatolewa kwa sababu thamani imeshuka. Mmhh
Basi sawa mkuu