Taja kilichosababisha mpaka umpige mkeo au mpenzi wako katika maisha yenu ya mahusiano


Mm licha ya kuogopa kipigo ugomvi,maneno maneno sipendi kabisaaa,nipe ratiba zako mapema basii najiongeza
Sio unarudi usiku umelewa unafika getini mahoni km tuko stend unaingia ndani kelele mara maswali nachukia na sikujibu naweza kukununia mpk
 
Men are like Dogs,ukimplease vyema he will think that u must be so Godly

Women are like Cats,ukimplease vyema she will be like woooh OMG!He`s doing anything i wanna,am must be a God
 
Wanawake wanaudhi sana anaweza kukupa maneno makali ukahisi kifua kinajaaaa hasira, mwisho wasiku inabidi umtulize kwa makofi kadhaa, akiwa mbishi ndo atakula zaidi. Maaana atajifanya kurudisha. Mdomo huponza kichwa

Mkuu ht nyie wanaume mnamaudhi yenu mengi tu,
Usituoneee jmn
 
Akizingua nampa kelbu mbili tatu halafu nanguruma kama Simba kidogo,anatulia tuliii
 
He he heee! hivi bado kuna watu wanaowapiga wapenzi wao? Hakuna kosa lililohalalishwa kupigwa! usirudie kumpiga mpenzi/mke wako.
Mwanamke lazima umpige kidogo bila hivyo atakufanyia vituko kila siku
 
Mm licha ya kuogopa kipigo ugomvi,maneno maneno sipendi kabisaaa,nipe ratiba zako mapema basii najiongeza
Sio unarudi usiku umelewa unafika getini mahoni km tuko stend unaingia ndani kelele mara maswali nachukia na sikujibu naweza kukununia mpk

Hahahaaa. Hivyo kuepuka mnuno na maneno maneno bora akupe ratiba zake ili ujue namna ya kujiongeza. Safi sana dadaake.
 
Mkuu ht nyie wanaume mnamaudhi yenu mengi tu,
Usituoneee jmn
Tana kama hao wakipata wale wanawake wenye nguvu zao mbona panachimbikaa kwa sababu kuna wanawake hawataki masihara.
 
Mwanamke lazima umpige kidogo bila hivyo atakufanyia vituko kila siku
Mmh. Hata wewe brother kumpiga sio lazima bana maneno tu yanatosha kumfanya mtu akakuelewa vizuri na hata hiyo nafasi ya kukufanyia vituko asiipate.
 
Mimi kadem kangu kananijua wala hakanipangii cha kufanya japo sikaonei ila kosa tu kakifanya kanaelewa
 
We Pombe inakusumbua huo ni ukuda
 
Nshalala polisi kwa ajili ya kutoa dozi kwa demu wangu mmoja wa chuo
 
Mmh. Hata wewe brother kumpiga sio lazima bana maneno tu yanatosha kumfanya mtu akakuelewa vizuri na hata hiyo nafasi ya kukufanyia vituko asiipate.
Amna muamana nyie hata mfanyiwe nini
 
Siku akianza ukaidi hadi ukakereka utajua kwanini ata tusio na mikono ya kupiga tulifanya hivyo. You love somebody to an extent huwezi hata kuelewa kwanini anakuboa makusudi tu! Thats a womans attitude..shit tests!

Hawezi fikia huko... i know how to control her... Mkaidi ni mimi...


cc: mahondaw
 
Discipline bila adhabu haipo. Je unapoambiwa mwanaume kichwa cha nyumba na lazima kuitiisha familia. Nini maana ya kutiisha. Ni pamoja na sanctions akiwemo mkong'oto.
 
Aseme tuu. Lakini kosa kupima ubavu. Hapo lazima uestablish heshima.
 
Mimi sio mke Bali alikua.mpenzi.

.siku moja kaja ndan ,, nmepika fresh tukala ....sasa nikamwambia ngoja nikoge .

Akanijibu ukiingia bafuni tu hunikuti ... Nikasema poa nkaacha.

Baadae nikaona anachat sanaaa ,,nikaona sio tabu nikaanza kuchati namm ,,nikaweka mlio wa meseji nanikaongeza sauti.

Sasa yeye akawa hajibiwi kwa wakat Mimi kila sekunde ni tuliiiii tuliiiiii tuliiiiiiii....kumbe limekasirika ,, Akashika mwiko akanipiga nao mkononi ,, aiseee Mimi nakua sijawahi pigwa na wazazi Wangu .


Nilimpa kipigo ,, nikamuwekea vikwazo vya kiuchumi.haaa aliomba pooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…