Taja kilichosababisha mpaka umpige mkeo au mpenzi wako katika maisha yenu ya mahusiano

Mwanamke lazima umpige kidogo bila hivyo atakufanyia vituko kila siku

Kwa hiyo ukimpiga ataacha kufanya vituko? Umeshajiuliza utajisikiaje ukimuona mama yako akipigwa na babio?
 
Ingia kwenye ndoa kwanza ndio uulize maswali yako mepesi ...

nani kwakwambia kwenye ndoa kuna kupigana? Soma vitabu vyooote uje utuambie ndoa ni uwanja wa mapigano... tuonyeshe mwanamume anapotakiwa kumpiga mkewe akimkosea !! Kama ni hivyo basi Eva baada ya kumdanganya Adamu angestahili kipigo cha paka mwizi.... Mwanamume anayempiga mkewe/mpenzi wake ni yule asiyejiamini
 
Aisee Mungu aniepushie mbali nisije kupiga mwanamke maana ninavyojijua dah
 
Unashangaa nini sasa? Tulia umri ufike uweke mtu ndani ndio utajua watu wanazungumza nini, niliwahi kujiapiza sitompiga wife lakini ilishindikana aiee

Hivi kupiga ndio dawa? Ukishampiga unafuta kosa? halitajirudia? Ukishapiga ndio unajiona kidume? Ulimpiga mkeo kwa kutojiamini, na ulimpiga kwa kuwa ubongoni mwako uliamini ukimpiga utamaliza tatizo. Ukiwa makini na ukijiamini huna sababu ya kumpiga mkeo. Nina umri zaidi yako na ninaelewa ninachokiandika.
 
Kwa hiyo ukimpiga ataacha kufanya vituko? Umeshajiuliza utajisikiaje ukimuona mama yako akipigwa na babio?

majoto kwa wengi Mama ni 'Almight' but kwa Baba yako she is once a girl next door, his girlfried/lover or even once side chick, she is his wife. Kuwa mwangalifu sana kuchagua upande ... Itakuja kuku cost 😕😛😀😀
 

Baada ya kumchapa ulirudisha nyuma yaliyotokea? Kama kuna mambo mabaya aliyafanya kule je, yalifutika? Ulimpiga tu lakini hukuweza kubadili yaliyotokea, kumpiga kwako hakukusaidia kitu zaidi ya kujifariji kwamba kipigo ulichompa kimefuta dhambi aliyotenda na kufuta makosa. Kipigo chako kilimpa uhuru wa kuweza kufanya lolote kwa malipo ya kipigo. Kuna wakati atafanya baya zaidi na atakuomba umuadhibu/umpige ili kufuta kosa, hayo si mapenzi, hilo si kusudi la ndoa, hayo si maisha. Take care kuna wakati utajuta kumpiga.
 
mwanamke ana pigwa tu kupigwa suna ilaa kuna upigaji wake either sycologically au kama physically basi kwa upande wa khanga tuh 😀
 
majoto kwa wengi Mama ni 'Almight' but kwa Baba yako she is once a girl next door, his girlfried/lover or even once side chick, she is his wife. Kuwa mwangalifu sana kuchagua upande ... Itakuja kuku cost 😕😛😀😀

Do you think.. if she is his wife or girl or chick... whatever kipigo ni sahihi? ndio njia pekee ya kufuta kosa?
 
Suluhisho ni Nini?

Suluhisho ni kitu kingine kulingana na mazingira ya kosa sio kipigo. Ili kupata suluhisho ni lazima ujue uzito wa kosa, sababu ya kosa, lengo la kosa na mambo meengi.
 
Binafsi kipigo kilisaidia kurudisha nidhamu na utii,nisingempa kipigo hali ya masikilizano ndani ya nyumba ingekuwa mbaya sana.Nathubutu kusema toka nimpe adhabu utii umeimarika sana,ila sipendekezi kipigo kiwe mbadala wa kila tatizo linalojitokeza katika mahusiano
 
Nani kakudanganya akikupiga anakupiga kwa ajili ya suluhu?
Yote ni kwa ajili ya kujisikia vizuri, baada kumsababisha ajione thamani yake kama mwanaume imeshuka.
 
Mi nasamehe yoote! Ila ukinisaliti kwenye kitanda changu, kafuate RB.
 

Kipigo kimemjengea woga na umakini zaidi katika kutenda makosa. HIyo nidhamu na utii unayotokana ni kipigo ni ya unafiki. Hayo si mapenzi. Binafsi siamini katika kipigo
 

Nidhamu ya woga which is not good kwa wanandoa wewe hapo ndani unaona nidhamu ika akitoka nje anakuita mbwa. Akikaa na marafiki zake ana kurefer kama ki baba Fulani hayo ndio mambo tunayoskia sisi wanawake tukikaa pamoja. Na uombe asipekeke hiyo sumu ya chuki kwa watoto
 
Kwa hiyo ukimpiga ataacha kufanya vituko? Umeshajiuliza utajisikiaje ukimuona mama yako akipigwa na babio?
Ndio dawa yao kumpiga na ataacha Mara nyingi hua wanafanya kukujaribu uta react vp ukijifanya mpole atakuchezea kila siku Mwanaume usikubali kuendeshwa na hawa viumbe hatari
 
Kwa hiyo ukimpiga ataacha kufanya vituko? Umeshajiuliza utajisikiaje ukimuona mama yako akipigwa na babio?
Nasikia vibaya nikiona baba anapelekeshwa na mama kuliko baba kumpiga mama wametoka mbali sana wanajuana wenyewe
 
Kuna mmoja kitambo niliwahi kumfua, alitumiwa txt ya mapenzi na shikaji lake nkaiona, sikutaka kuhoji nilimfua makofi mpka akaeleza kuhusu uhusiano wke na shikaji.
 
Hivyo kipigo huwa vinatolewa kwa sababu thamani imeshuka. Mmhh

Basi sawa mkuu
Ok. Ila try to be honest with yourself.
Kama umewahi kutamani kumpiga mtu (hata kama hukufanya hivyo), deep down uliwaza ni kwa ajili ya utatuzi au it was just to make yourself feel better. I mean, think about it.
I was just stating the obvious. A typical human psychology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…