Kutoka wimbo gani mkuu?... ndizi anang'ata ka ngedele ....
Even a black folk hate to see another nigga made it..
Kipusa.Tata jina la wimbo au msanii au kipande cha mstari aliyeimba lugha tata;
Mimi naanza "...wanyanyua vyuma wakati hawana marinda.."from WCB
"SisiM ni ile ile [emoji445] [emoji445]Chaguo letu wenyeweee [emoji444] [emoji444] ndindiiiiii
Tuliipenda wenyeweee[emoji444] [emoji444] [emoji444] ndindiiiii
Wacha waisome namba eeeee........ ..
jamani nisaidieni kumalizia huu ubeti
_ where ever you are remember me_