Taja kipande cha mstari wa wimno wowote ambacho kinaleta ukakasi wa kimaana

Taja kipande cha mstari wa wimno wowote ambacho kinaleta ukakasi wa kimaana

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,483
Tata jina la wimbo au msanii au kipande cha mstari aliyeimba lugha tata;
Mimi naanza "...wabeba vyuma wakati hawana marinda.."from WCB
 
... ndizi anang'ata ka ngedele ....

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Nina majina mapya kila mmoja amenipa
Wananiita kipusa ooh pasua kichwa
Mi ninamajina mapya kila kona wamenipa
Wananiita kipusa ooh pasua kichwa
 
Ananipa hadi mambo ya uani- dogo janja song ngarenaro

Philips X2560
 
Chaguo letu wenyeweee [emoji444] [emoji444] ndindiiiiii
Tuliipenda wenyeweee[emoji444] [emoji444] [emoji444] ndindiiiii
Wacha waisome namba eeeee........ ..

jamani nisaidieni kumalizia huu ubeti

_ where ever you are remember me_

"SisiM ni ile ile [emoji445] [emoji445]
Walijipanga wacha waisome number[emoji445] [emoji445]
 
[emoji344] [emoji441] [emoji445] Niki nina bunduki ila sio silaha, ina ina kichwa kisicho na utosi na[emoji445] Ina kichwa kisicho na akili na [emoji445] ndicho kinachozidi akili na[emoji445] [emoji444] - Weusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdudu ndani ya kokwa la embe ameingiaje?
 
weusi nyimbo zao nyingi zina matusi sijui ndo hip hop halafu wanajidai umetafsir vibaya wamekuwa kama gigi mtoa papa
 
Back
Top Bottom