Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nimwibie boss?Tafuta hela
Siku hizi hata Mbususu hatukopeshwi
Dogo unapenda sana kulakulaHabari!
Huku mtaani kwetu Chanika unga wa sembe unapanda bei kwa kasi. Kila nikienda mashine kununua unga siku hizi nakutana na bei mpya.
Vitu vingi vilivyouzwa jero sasa ni mia 6 na vile vya buku sasa buku na mia 2.
Leo nikiwa kazini mjini nikapitia cafe ya karibu nakuta vitafunwa vimepanda bei.
Huu mfumuko wa bei utawaumiza sana watumishi wa sekta binafsi na wananchi wengine.
Wakulaumiwa ni Magufuli na PutinHabari!
Huku mtaani kwetu Chanika unga wa sembe unapanda bei kwa kasi. Kila nikienda mashine kununua unga siku hizi nakutana na bei mpya.
Vitu vingi vilivyouzwa jero sasa ni mia 6 na vile vya buku sasa buku na mia 2.
Leo nikiwa kazini mjini nikapitia cafe ya karibu nakuta vitafunwa vimepanda bei.
Huu mfumuko wa bei utawaumiza sana watumishi wa sekta binafsi na wananchi wengine.
Nimwibie boss?
Kumbe ata wewe umeliona hili....yaani sasa kula mbususu ni tit for tat wakati ilifika mahala una deninla bao zako nne na mnaongea fresh tuuSiku hizi hata Mbususu hatukopeshwi
Unaweza kukuta wewe ni [emoji232] road [emoji23][emoji23]Tafuta hela
Aisee.Sabuni kipande 1000 Mchee 5000 sabuni za jamaa na white wosh
Kwetu mche 3000,white washSabuni kipande 1000 Mchee 5000 sabuni za jamaa na white wosh