Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Huku mtaani kwetu Chanika unga wa sembe unapanda bei kwa kasi.
Kila nikienda mashine kununua unga siku hizi nakutana na bei mpya.
Vitu vingi vilivyouzwa jero sasa ni mia 6 na vile vya buku sasa buku na mia 2.
Leo nikiwa kazini mjini nikapitia cafe ya karibu nakuta vitafunwa vimepanda bei.
Huu mfumuko wa bei utawaumiza sana watumishi wa sekta binafsi na wananchi wengine.