Taja kitu, neno au chochote ambacho hujakisikia kwa miaka 5-20

Taja kitu, neno au chochote ambacho hujakisikia kwa miaka 5-20

Mafuta ya KIMBO
.
download.jpeg
 
Ccm ngangari
Nahisi ungangari utakuwa umeisha, sikuizi ccm ni ile ile tu, tumeizoea
 
Pichu za utajiju zilikuwa na zipu kwambele ya papuchi
Sisi kijijini kwetu tulikuwa tunaziita Pochi
 
Back
Top Bottom