mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Saivi mnaisoma namba"Laki si pesa, milioni itasaidia"
Sisikii kabisa msemo huu.
Unaamkia shikamooo.. Au ukiona watu wamevaa sare twasema daboMakorosho yanapiitaaa barabarani
Mambo ya kingwenduAcha ushambenga