Taja kitu ukipendacho na usichokipenda

Eti sipendi mvua inyeshe usiku.....
😫😫😫😄😄
Itakuwa ikinyesha unapata purukushani ww.... Hama hiyo mitaa ya uswazi...
Hivi kuna raha kama mvua kunyesha usiku halafu kusiwe na singbodi...
 
Siipendi kabichi (cabbage) pia.

Napenda music.
 
sipendi maandamano/migomo,

napenda kupata haki yangu.
 
Matusi ya Vijana wa Bavicha yanaharibu jukwaa bora waondolewe
 
Mimi sipendi kula parachichi. Maana halina ladha ya utamu, uchachu, ukakasi wala ukali. Naona limejaa mafuta yanayosababisha watu wazidi kupata maradhi ya viribatumbo a. k. a VITAMBI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana papuchi nachukia papuchi inayotoa harufu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…