Taja ma-MC uchwara Dar es salaam

Dude ni Mc mbovu.... Nilihudhuria shughuli alokua anaendesha yan ilkua ovyo
 
Ukute hao wahindi walikuwa wanamshangaa!
 
Huyo pilipili ndio MC uchwara namba moja.Kuna siku alikuwa anadai huwezi kupata mchumba veta, akasema wachumba wanapatikana vyuo kama IFM.

Nilimshusha vyeo kabisa, sijasoma Veta ila sikufurahia kudhihaki vyuo vya watu.
 
MC nani huyo? Usikute unamzungumzia MC wetu toka dom
 
1. MC PILIPILI a.k.a ZAKAYO - hiki kijamaa kinalazimisha u-MC lakini hawezi huyu labda aende kwenye kupiga ngoma za kienyeji huko kwao DODOMA.

Kupiga ngoma ni kipaji mkuu. Tena ondoa hii dhana kupiga ngoma ni fani ya watu walioshindwa. That's wrong.
 
Mc Zippo Mama la Mama yupo vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…