Kati ya kimanda vs Masatu yupi ulimkubali?George Magere Masatu
Constantine Kimanda
Victor Costa Nyumba
Sababu alikuwa Ana nguvu nyingi kuliko akiliRigobert Song wa Cameroon pia alikuwa anajitahidi japo alikuwa anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Mimi mnazi wa Simba kaka,Kati ya kimanda vs Masatu yupi ulimkubali?
According to kizazi cha miaka ya 90 kurudi nyuma ni hawa hapa;
Franz Backenbeuer "The Kaiser"
Franco Baresi
Bobby Moore
Kwa niliowaona mimi wakicheza;
Paolo Maldini
Sergio Ramos
Nemanja Vidic
Kwa Afrika;
Wael Gomaa
Said Mwamba Nassoro
Lucas Radebe
1.Sergio Ramos
2.Kelvin Yondani
3.Virgil Van Dijik
Nimewaona ila 3 bora yangu ndio hiyo niliyoitaja.Mkuu uliwahi waona Fabio Cannavaro na Allesandro Nesta?
Nimewaona ila 3 bora yangu ndio hiyo niliyoitaja.