Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kweli mkuu, ila kejeli za Materazi hazikuvumilika kwa ZizuHatari Sanaa...ila Kama Zidane asingelimwa Red card alikuwa anaipiga Italy goli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu, ila kejeli za Materazi hazikuvumilika kwa ZizuHatari Sanaa...ila Kama Zidane asingelimwa Red card alikuwa anaipiga Italy goli.
Duuuh...Nesta alicheza Ac Milan ile yenyewe. Iliyokuwa inaundwa na ukuta wa Dida golini, Cafu kulia, Nesta na Jaap Stam kati na kushoto Maldini.
Wangecheza Leo hii UEFA ingekuwa yao tu kila msimu.Duuuh...
Hao jamaa wote uliowataja wamecheza timu moja..!
Basi AC Milan ilikuwa timu ya hatari Chief..!
Hayo majina mimi huwa nayaona kwenye mitandao tu sikuwa unajua kama yalitengeneza kikosi kimoja..!
Tatizo la viazi mbatata vya Manchester ni lini Lahm amecheza beki ya Kati.1. Paolo Maldini
2. Sergio Ramos
3. Philip Lahm
Nyongeza.
Victor Costa Nampoka Nyumba
Sizani kama Ramos ni beki Bora wa Kati kuliko Please puyolAccording to kizazi cha miaka ya 90 kurudi nyuma ni hawa hapa;
Franz Backenbeuer "The Kaiser"
Franco Baresi
Bobby Moore
Kwa niliowaona mimi wakicheza;
Paolo Maldini
Sergio Ramos
Nemanja Vidic
Kwa Afrika;
Wael Gomaa
Said Mwamba Nassoro
Lucas Radebe
Laaaana inakusumbuaMsiwasahau "beki tatu" za Tanzania.
Hapo sasa!
Habarini Wadau,
Ninaomba kwa wale watazamaji na wafuatiliaji wa Mpira wa miguu mnitajie mabeki bora ambao wamewahi kuzitendea haki nchi pamoja na klabu zao kwa kuwapa tabu sana Washambuliaji.
Binafsi nitawataja watatu ambao ninakiri kuwa walikuwa mabeki Wazuri sana katika timu za taifa na klabu zao.
1. Marseille Desaily (France)
2. Cafu (Brasil)
3. Fabio Canavaro (Italy)
kwa nini mashabiki wengi wa chelsea hamumpi heshima inayostahili bwana ricardo carvalho?Ramos
Puyol
Terry
Siyo mnasema Yesu kishafanywa laana?Laaaana inakusumbua
Kwahiyo Vidic ana uwezo aliokuwa nao Cannavaro au hata Desaily?All time best defenders ni
1.paolo maldini
2.jaap stam
3.nemanja vidic
Hao wengine mnaowataja bado sana tena nashangaa watu wanamtaja vigil hivi kafanya yapi huyu?
+
Siyo mnasema Yesu kishafanywa laana?
Sasa mje niipate wapi tena hiyo "laaaana" na Yesu mmeshamtoa mhanga?
Kwahiyo Vidic ana uwezo aliokuwa nao Cannavaro au hata Desaily?
Mimi nikiona mtu anamtaja Van Dijk naamini ameanza kufuatilia soka majuzi tu.
Kwasababu jamaa anaweza akapotea anytime...bado haijafikia mahali pa kumrecognize kwamba ni beki bora kwasababu hajacheza mechi nyingi kama kina Lahm, Maldini n.k
Good!kwa nini mashabiki wengi wa chelsea hamumpi heshima inayostahili bwana ricardo carvalho?
huyo john terry na uwezo wake wote alipoondoka carvalho na yeye akapoteza muelekeo.
View attachment 1123507
Kaa utulie ulee wajukuu na kumstarehesha mme wako.+
Siyo mnasema Yesu kishafanywa laana?
Sasa mje niipate wapi tena hiyo "laaaana" na Yesu mmeshamtoa mhanga?