Taja mabeki watatu bora wa wakati wote Duniani

Taja mabeki watatu bora wa wakati wote Duniani

Nesta alicheza Ac Milan ile yenyewe. Iliyokuwa inaundwa na ukuta wa Dida golini, Cafu kulia, Nesta na Jaap Stam kati na kushoto Maldini.
Duuuh...
Hao jamaa wote uliowataja wamecheza timu moja..!
Basi AC Milan ilikuwa timu ya hatari Chief..!
Hayo majina mimi huwa nayaona kwenye mitandao tu sikuwa unajua kama yalitengeneza kikosi kimoja..!
 
According to kizazi cha miaka ya 90 kurudi nyuma ni hawa hapa;
Franz Backenbeuer "The Kaiser"
Franco Baresi
Bobby Moore

Kwa niliowaona mimi wakicheza;
Paolo Maldini
Sergio Ramos
Nemanja Vidic

Kwa Afrika;
Wael Gomaa
Said Mwamba Nassoro
Lucas Radebe
Sizani kama Ramos ni beki Bora wa Kati kuliko Please puyol
 
Habarini Wadau,

Ninaomba kwa wale watazamaji na wafuatiliaji wa Mpira wa miguu mnitajie mabeki bora ambao wamewahi kuzitendea haki nchi pamoja na klabu zao kwa kuwapa tabu sana Washambuliaji.

Binafsi nitawataja watatu ambao ninakiri kuwa walikuwa mabeki Wazuri sana katika timu za taifa na klabu zao.

1. Marseille Desaily (France)

2. Cafu (Brasil)

3. Fabio Canavaro (Italy)

1. Virgil van Djik
2. Carles Puyol
3. Roberto Carlos
 
Ramos
Puyol
Terry
kwa nini mashabiki wengi wa chelsea hamumpi heshima inayostahili bwana ricardo carvalho?
huyo john terry na uwezo wake wote alipoondoka carvalho na yeye akapoteza muelekeo.
1123507
 
All time best defenders ni
1.paolo maldini
2.jaap stam
3.nemanja vidic
Hao wengine mnaowataja bado sana tena nashangaa watu wanamtaja vigil hivi kafanya yapi huyu?
 
+

Siyo mnasema Yesu kishafanywa laana?

Sasa mje niipate wapi tena hiyo "laaaana" na Yesu mmeshamtoa mhanga?
Ajuza umeyasikia mawaidha ya Maalim DIMOSO?

Sheikh kipozeo waala hamfikii wallah

Unataka nikuwekee hapa?
 
All time best defenders ni
1.paolo maldini
2.jaap stam
3.nemanja vidic
Hao wengine mnaowataja bado sana tena nashangaa watu wanamtaja vigil hivi kafanya yapi huyu?
Kwahiyo Vidic ana uwezo aliokuwa nao Cannavaro au hata Desaily?

Mimi nikiona mtu anamtaja Van Dijk naamini ameanza kufuatilia soka majuzi tu.

Kwasababu jamaa anaweza akapotea anytime...bado haijafikia mahali pa kumrecognize kwamba ni beki bora kwasababu hajacheza mechi nyingi kama kina Lahm, Maldini n.k
 
Yap vidic uwezo alikuwa nao tena hata kuwazidi yule jamaa aiseee
Kwahiyo Vidic ana uwezo aliokuwa nao Cannavaro au hata Desaily?

Mimi nikiona mtu anamtaja Van Dijk naamini ameanza kufuatilia soka majuzi tu.

Kwasababu jamaa anaweza akapotea anytime...bado haijafikia mahali pa kumrecognize kwamba ni beki bora kwasababu hajacheza mechi nyingi kama kina Lahm, Maldini n.k
 
Bekitatu bora kwa upande wangu ni:-
-Tupilike Andendekisye kutoka mbeya
-Zaituni Rashid kutoka mbulu
-Shani Sechonge kutoka Tanga
 
+

Siyo mnasema Yesu kishafanywa laana?

Sasa mje niipate wapi tena hiyo "laaaana" na Yesu mmeshamtoa mhanga?
Kaa utulie ulee wajukuu na kumstarehesha mme wako.

Mpira waachie wanaojua, majungu na udini si mahala pake hapa wewe kigagula wa pemba.
 
Back
Top Bottom