Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Kuna demu nilimtoa matenga baa fulani ivi.... sijaenda tena ile baa..ananidai elfu 5
 
Nadaiwa 800,000/ na ex wangu.
kuna jamaa ananidai 100k na sister ananidai 100k madeni madogo madogo chini ya 100k siyahesabii.
 
Nadawa jumla 80,000,000(bank) + 67,000,000(mtu)+ saccos imeshuka mpaka (525,000). Nazo dai na mimi ni maradufu ya hizo kiasi nikiweka cr/dr mzani unakaa sawa naweza kulala usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…