Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyoYa Vinamba
Ni kweli kabisa hii hali hata mdogo wangu anayo..Yaani kudhulumiwa kwetu kawaida.Aisee kweli unaona kama unamnyima Amani vile
Wewe kama mimi tu mkuuNi kweli kabisa hii hali hata mdogo wangu anayo..Yaani kudhulumiwa kwetu kawaida.
Mm na dogo tulifyatua tofali 15000 kwa jamaa mmoja..tulipomaliza akasema subiri niuze nitawalipa. Si tukaogopa kwenda kudai, Mama alisema sana hadi akalazimisha tumpeleke kwa huyo jamaa kumdai. Tukagoma kumpeleka mama, maana hua haachi kitu hadi 50 anadai
Asubiri Sana..Mpe haki yake
Mwenyewe Niko hivo, nikimkopesha mtu, hio hela naitoa kwenye hesabu zangu na Sitaki ajisikie vibaya akiniona.Mimi bora nidaiwe kuliko kudai.. naogopa kudai sijui kwann, imagije nishawahi kumkimbia mtu ninayemdai..
Unaweza jua ni chai hii but ndio hali halisi yangu..Very Shy kwenye kuomba
Nami hufanya hvo..nikimpatia mtu kitu nafanya kama nimekopa ila nakitoa kabisa kwenye moyo maana najua sitaweza kumdai. Akinilipa poa asiponipa poaMwenyewe Niko hivo, nikimkopesha mtu, hio hela naitoa kwenye hesabu zangu na Sitaki ajisikie vibaya akiniona.
Wanasema kwamba hata uwe tajiri vipi huwezi kukosa deni. Lazima kutakuwa na mtu, kampuni/ benki inayokudai.
Wengine wanafika mbali zaidi na kusema kama mtu unaogopa kukopa na kudaiwa, basi huwezi kuwa na mafanikio.
Je, wewe hapo kwa sasa unadaiwa nini? Kama ni pesa, ni kiasi gani?
Binafsi hapa nilipo nipo na madeni haya:
-Tala=45,000
-Tigo =36,000
-Airtel =37,000
-Branch=6,000
-Nadaiwa bili ya maji 9,200, hii leo nitailipa.
-Nadaiwa na jamaa 35,000.
-Nadaiwa hela ya posa milioni 1 na laki 3, kati ya milioni 1 na laki 5, nilitoa laki 2 tu.
Hayo ndiyo madeni yangu hayo ya juu ukitoa matatu ya mwisho, yameshakuwa sugu sasa.
Cc Zero iq
Umenipita kidogo rafiki angu.Madeni yote 4,000,000/=
Hapo nimejumlisha yotee.Umenipita kidogo rafiki angu.
Mimi ni 3.6m. Tena kwa mtu mmoja hili lote.
Loans board(HLSB) bado hawajanikamata apo.