Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Aisee kweli unaona kama unamnyima Amani vile
Ni kweli kabisa hii hali hata mdogo wangu anayo..Yaani kudhulumiwa kwetu kawaida.
Mm na dogo tulifyatua tofali 15000 kwa jamaa mmoja..tulipomaliza akasema subiri niuze nitawalipa. Si tukaogopa kwenda kudai, Mama alisema sana hadi akalazimisha tumpeleke kwa huyo jamaa kumdai. Tukagoma kumpeleka mama, maana hua haachi kitu hadi 50 anadai
 
Wewe kama mimi tu mkuu
 
Bank nilichukuwa 4,000,000 imebaki
980,000 nikamilishe,
Mshikaji 1,000,000,
Sister 200,000,
Kikundi 280,000,
Dogo 150,000,
Harusi 100,000,
Maji 14,000
Jumla 2,700,000 hivi
Mungu nisaidie nimalize kabla ya mwaka kuisha.
 
Mimi bora nidaiwe kuliko kudai.. naogopa kudai sijui kwann, imagije nishawahi kumkimbia mtu ninayemdai..

Unaweza jua ni chai hii but ndio hali halisi yangu..Very Shy kwenye kuomba
Mwenyewe Niko hivo, nikimkopesha mtu, hio hela naitoa kwenye hesabu zangu na Sitaki ajisikie vibaya akiniona.
 

Nikitaja utanisaidia kulipa? Naona wewe mwenyewe umesema unadaiwa, au unataka watu wa kukusaidia kulipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…