Taja maeneo ya hovyo Dar ambayo huwezi kukaa

Ni kweli mkuu huu uzi ni wa kipumbavu na wa kitoto sana, watu wanaishi maeneo hayo siyo kwa kupenda bali hawana jinsi na uwezo wa kuishi wapapendapo

Asichokijui huyu kitoto ni definition ya maisha. Katoka porini huko kaja ishi kwa shemeji yake magorofani basi anajiona kafikaaa na maisha kayapatia. Hajui hata huko anakoona uswazi kuna watu wanamaisha mazuri na furaha tu zaidi yake!
 
Utoto unakusumbua!
 
Dar es Salaam yote, kama si mzaliwa wa huko si sehemu ya kuishi. Dar is a business City. Kama nio mfanyakazi kaa Dar with a plan in mind kwamba nikijaaliwa kustaafu salama, makazi yangu ya kupumzika ni either Morogoro vijiini, Ifakara, Tukuyu, maeneo ya Uyoleuyole, Marangu, Kilema, Manyovu, Uvinza, nk. Dar ni sehemu ya kutafuta, 25-60 years. Short of that you're doomed!!
 
Kwa mtu anayeelewa maisha ni kupanda kushuka hawezi kusema eti kuna maeneo hawezi kukaa.

Nakumbuka nilipokuwa primary mama yangu aliwahi kuniambia kuwa anakiwanja sehemu fulani.

Wala sikuwahi kufikiria kuwa ipo siku tutakwenda kuishi huko, kutokana na maisha tuliyo kuwanayo kwa wakati huo.

Lakini maisha yalitupeleka huko baada ya miaka kadhaa
 
In this life there is no permanent address tek that!
 
Kaka ninavokukubali ila leo hii unatuponda namna hii hatukupanga kuzaliwa Temeke sisi Mungu ndo kapanga😭😭😭
uhovyo utoke wapi? temeke inamiliki sehemu ya bandari, vyuo vikuu viwili, DUCE na TIA kambi za jeshi na police uwanja wa Mkapa na uhuru tunamiliki kiwanda cha bia kwa kiasi temeke kunauwekezaji usiohama acheni zenu.
 
Tanzania Watu, tunapakana ujinga sana, wenye pesa zao, huwezi kuta anaandika ujinga huu, ukimfuata huyu akuonyeshe cha maana alichonacho, utakuta ni hiyo Smart ya tecno tu.
 
Maeneo yalio wilaya za Ilala, Temeke na Kigomboni.
 
Kwa kweli Masaki ni eneo la hovyo sana....siwezi kabisa mm kuishi kule
 
Unaweza kutoka huko....
Sawa naweza mkuu nawaachaje wengine kumbuka nitakuwa mkimbizi hadi lini kwanini watu wenye ideology kama mimi ambao nao wanaishi uku uswazi tusishirikiane ili wanaokuponda siku nao waamie uku tukipabadilisha na sio kupakimbia.
 
Sawa naweza mkuu nawaachaje wengine kumbuka nitakuwa mkimbizi hadi lini kwanini watu wenye ideology kama mimi ambao nao wanaishi uku uswazi tusishirikiane ili wanaokuponda siku nao waamie uku tukipabadilisha na sio kupakimbia.
Utabadilishaje huko.mlikosongamana hadi kukosa hewa safi? Huko mnakoishi mkitazama vinyesi kutwa nzima?
 
Utabadilishaje huko.mlikosongamana hadi kukosa hewa safi? Huko mnakoishi mkitazama vinyesi kutwa nzima?
Daaah kaka tema mate chini kaka mimi sikai sqwata area kaka tupo mitaa imepimwa kabisa.
 
Upo sahihi mkuu, Dar si mji wa wazee, wajanja wengi wamestukia hii technic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…