majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
Ni kweli mkuu huu uzi ni wa kipumbavu na wa kitoto sana, watu wanaishi maeneo hayo siyo kwa kupenda bali hawana jinsi na uwezo wa kuishi wapapendapo
Asichokijui huyu kitoto ni definition ya maisha. Katoka porini huko kaja ishi kwa shemeji yake magorofani basi anajiona kafikaaa na maisha kayapatia. Hajui hata huko anakoona uswazi kuna watu wanamaisha mazuri na furaha tu zaidi yake!